Tuesday, 13 May 2014
WEMA AWAGOMBANISHA DIAMOND, PREZZO !!! NINI ZAIDI SOMA APA!!
RAIS wa Wasafi Bongo, Nasibu Abdul
‘Diamond’ yuko ndani ya bifu zito na mwanamuziki kiwango cha juu kutoka
nchini Kenya, Jackson Ngechu Makini ‘Prezzo’ chanzo kikidaiwa ni Miss
Tanzania 2006, Wema Sepetu.
Labels:
WASANII
LULU KERO BONGO MOVIE!!! NINI ZAIDI SOMA APA!!
WAMEANZA! Tabia ya staa wa sinema za
Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ya kutojumuika na wenzake
kwenye matukio ya kijamii hasa matatizo inadaiwa kuwakera Klabu ya Bongo
Movie Unity hivyo kuandaa kikao maalum cha kumkanya.
Labels:
WASANII
WANAMUZIKI 5 TWANGA HOI KWA DENGUE
HOMA ya Dengue imezidi kuwa tishio
jijini Dar es Salaam, ambapo wanamuziki watano wa Bendi ya African Stars
‘Twanga Pepeta International’, wamekumbwa na ugonjwa huo, habari
zimefika katika dawati la Risasi Mchanganyiko.
Labels:
WASANII
DIAMOND PLATINUMZ ATUA UINGEREZA TAYARI KWA KUSHOOT VIDEO !!
Platnumz na Dimpoz wakati wa safari yao ya UK jana
Labels:
WASANII
Subscribe to:
Comments (Atom)



