Sunday, 2 February 2014

JE KUNYONYA ULIMI AU KULA DENDA KUNAWEZA KUSABABISHA UKIMWI??? SOMA UELEWE

HILI DENDA HATARIII DUHH....
Swali: Je kunyonyana ulimi au kula mate kunaweza kuambukiza VVU ?. Jibu: Njia ya mdomo inaweza kuchangia mtu kupata VVU kama mtu atakutana na mtu mwenye VVU mwenye vidonda au michubuko mdomoni nawe pia ukawa una michubuko au vidonda
mdomoni, ili kuweza kupata VVU kwa njia ya mate inabidi kulamba mate lita 2 jambo ambalo ni gumu.

No comments:

Speak Your Mind

Powered By Blogger · Designed By Seo Blogger Templates