Tatizo ni pesa ndio kitu kinachofanya wanafunzi wa vyuo kupiga picha za utupu na baadhi ya watu soma kisa hiki
Anaitwa M****a,Mwanafunzi wa shule ya sekondari,ST ****,nchini South Africa.
Mwaka Jana akiwa anarudi Shule
pamoja na marafiki zake wawili,likasimama Gari aina ya Range
Rover,Akashuka Mzee-Kijana akawasalimia,akawaomba rafiki zake huyu
mrembo aongee nae pembeni.
Baada ya kupewa Maneno Matamu na kuhaidiwa kiwango kikubwa cha Pesa,akamkubalia.
Wakakutana Kesho,wakafanya yao.Wakaanzisha Uhusiano wa Kimapenzi ambao ulidumu kwa zaidi ya Miezi 9.
Wiki iliyopita,Udakubiz Team
tulifanikiwa kuzipata hizi picha baada ya kuanza kuvuja kwa kasi kwenye
Internet,inasemekana huyu binti kwa Tamaa zake alipata mwanaume
mwingine,Mtoto wa Wizara Nyeti kule South Africa,kwa kuwa ana pesa zaidi
ya Mzee-Kijana,akaamua aachane na Mzee-Kijana,kisha aanze kumdate Mtoto
wa Waziri.
Kitendo kile kikamkasirisha yule Mzee-Kijana,akaamua kuzisambaza hizi picha za huyu bi-mdada akiwa na Nia ya kulipiza kisasi.
Mweusi Classic inawashauri Wanafunzi wote kuanzia Primary mpaka wanaosoma Chuo,please acheni Tamaa.
Ipo siku kitu kama hiki kinaweza kikakutokea ukakosa pa kuficha uso wako ndani ya jamii.












No comments: